Shahidi aeleza Takukuru walivyozuia mizigo ya Simba - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Shahidi aeleza Takukuru walivyozuia mizigo ya Simba

Shahidi wa tano katika kesi inayowakabili vigogo wa klabu ya Simba ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jinsi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) walivyobaini udanganyifu katika mizigo ya klabu hiyo.


Source: MwanaspotiRead More