Shahidi akwamisha kesi ya Halima Mdee - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Shahidi akwamisha kesi ya Halima Mdee

KESI inayomkabili Mbunge wa Kawe, Halima Mdee katika Mahakama Hakimu Mkazi Kisutu,  ya kutoa lugha chafu dhidi ya Rais John Magufuli imekwama kusikilizwa leo tarehe 8 Oktoba 2018 baada ya shahidi upande wa mashtaka kushindwa kufika mahakamani. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Katika kesi hiyo, mashahidi upande wa mashtaka walitakiwa kutoa ushahidi wao, lakini hawakufika ...


Source: MwanahalisiRead More