Shahidi: Aveva alikiuka uamuzi wa Kamati Tendaji ya Simba - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Shahidi: Aveva alikiuka uamuzi wa Kamati Tendaji ya Simba

Mchunguzi kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Frank Mkilanya(45) ameieleza Mahakama, jinsi aliyekuwa rais wa Simba, Evans Aveva na wenzake, walivyokiuka maagizo ya yaliyotolewa na Kamati Tendaji ya Klabu hiyo ya kufungua akaunti maalumu kwa ajili ya kutunza fedha, kiasi cha dola za kimarekani 319,212 zilizotokana na uhamisho wa mchezaji wao, Emmanuel Okwi.


Source: MwanaspotiRead More