Shambulio la meli za mafuta Ghuba ya Oman Iran yahusishwa huku Marekani ikitoa ushahdi huu - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Shambulio la meli za mafuta Ghuba ya Oman Iran yahusishwa huku Marekani ikitoa ushahdi huu

Saa chache tu baada ya mashambulizi dhidi ya meli mbili za kubeba mafuta katika Ghuba ya Oman siku ya Alhamisi , Jeshi la Marekani lilitoa kanda ya video iliosema kuwa ni ushahidi kwamba Iran ndio iliohusika na shambulio hilo. Kanda hiyo ilidaiwa kuwaonyesha wanajeshi wa Iran wakitoa bomu moja la majini ambalo lilifeli kulipuka.Kwa mujibu wa BBC. Kanda hiyo ya Video ambayo bado haijathibitishwa ilikuwa na ushawishi mkubwa ikilinganishwa na madai ya awali ya Marekani kwamba Iran ndio inayotekeleza mashambulizi hayo katika eneo hilo ambayo yalikuwa hayana ushahidi.


Katika kushambulia meli ya mafuta ya Japan na nyengine ya Norway iliokuwa ikibeba mafuta kutoka Saudia na UAE kupeleka Singapore na Taiwan?


Iran imepata shinikizo kubwa la kiuchumi katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita, tangu rais Donald Trump alipoiondoa Marekani katika makubaliano ya mpango wa Kinyuklia wa Iran ulioafikiwa 2015 na kuiwekea baadhi ya vikwazo vikali katika historia ya sera ya kigeni ya Marekani – ikileng... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More