Shambulizi la Skripal: Marekani kuiwekea vikwazo Urusi, kuanzia Agosti - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Shambulizi la Skripal: Marekani kuiwekea vikwazo Urusi, kuanzia Agosti

Marekani imepanga kuweka vikwazo vipya kwa Urusi ikiwa ni kujibu kitendo cha shambulizi la sumu la afisa wa zamani wa usalama wa Urusi Sergei Skripal na mtoto wake wa kike nchini Uingereza.


Source: BBC SwahiliRead More