Shamsa Alezea Anavyokerwa na Wanaotukana Katika Mitandao. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Shamsa Alezea Anavyokerwa na Wanaotukana Katika Mitandao.

MwanadadaSshamsa Ford amefunguka na kusema kuwa anawashanga sana wanaoingia katika mitandao ya kijamii na kuanza kutukana wakati wangeweza kufanya mambo ya maana kwa huo muda ambao wamekuwa wakitukana na kufanya yasiyowahusu.


Shamsa anasemakuwa mara nyingine huwa naona ni bora hata kutoka katika mitandao ya kijamii ili tu asiweze kukutana na maneno ya watu lakini ndio hivyo kazi zao zinawataka kuwa hivyo muda wote lakini njia anayotumia yeye  ni kuwa-block tu.


mimi kwakweli sipendi mtu anaetukana katika mitandao ya kijamii,watanzania tulivyokuwa sharp katika mitandao ya kijamii kutukana tungekuwa tunatumia huo muda kufanya vitu vya maana tungekuwa na maendeleo sana,kuna muda mwingine unaweza kusema ni bora hata ningetoka tu katika mitandao, lakini ndo hivyo hatuwezi lakini sasa unaona kama kikitokea kama icho basi  unam-block tu.


 


The post Shamsa Alezea Anavyokerwa na Wanaotukana Katika Mitandao. appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More