Shamsa, Faiza Ally Wamshambulia Zari the Bossy. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Shamsa, Faiza Ally Wamshambulia Zari the Bossy.

Wasanii wa bongo movies nchini wamefunguka na kumshambulia mwanamama Zari The Bossy kwa kile kinachosemekana kuwa mwanadada huyo amekuwa na dharau sana kwa watanzania na kwamba amekuwa akimtesa sana ndugu yao diamond kuhusu watoto wake,


kwa upande wa Faiza Ally ambae yee amewatolea povu mpaka watanzania wenzake na kusema kuwa wamekuwa wakimuona zari kama mtu muhimu sana wakati hakuna chochote cha maana alichonacho mwanadada huyo.


katika ukurasa wake wa instagram ambapo aliweka picha hiyo na kisha baadae kuifuta , faiza laisema ” wanawake bhana mna ujinga mwingi sana , mnataka watu wote tumuone zari kama mnavyomuona ninyi, mimi ninamuona tu ni mshamba wa kiganda kama washamba wote….msinitagi up*** wenu, kwanza mi mzuri sema maisha tu ndo magumu.


katika posti hiyo hiyo, Shamsa nae akaja na kupigilia msumari na kusema “mtu asiyetabasama muda mwingi yeye kafumba mdomo na hana tabasamu mara nyingi anakuwaga sio mtu mzuri kabisa,wanakuwaga na roho mbaya sana zilizokomaa kiasi kwamba ha... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More