Shamsa Ford, Faiza Ally na Maimatha Wamburuza Zari Mtandaoni - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Shamsa Ford, Faiza Ally na Maimatha Wamburuza Zari Mtandaoni

Mrembo  Zarinah Hassan maarufu kama Zari The Bosslady amejikuta katika vita kali ya maneno katika mitandao ya kijamii na wasanii wa Bongo movie ambao ni Shamsa Ford, Faiza Ally na Maimatha Jesse.


Bifu kati ya Zari na Wasanii hao lilianzia katika suala zinazoendelea la kuhudhuria birthday party ya Tiffah ambapo Zari aliwachana wasanii hao na kudai kuwa wasiende Sauzi maana watachafua nyumba.


Wasanii hao walionyesha kutofurahishwa na kauli hiyo na kumtolea povu zito ambapo Faiza Ally alifikia hatua ya kumuita Zari mshamba kutoka Uganda:.Mtu asiyetabasamu duniani yeye muda wote kafumba mdomo na hana tabasamu mara nyingi huwa anakuwaga siyo mtu mzuri kabisaa wanakuwaga na roho mbaya zilizo komaa kiasi kwamba hata kujifanyisha hawezi @faizaally_ 😃


A post shared by Shamsaford (@shamsaford) on Aug 7, 2018 at 10:48pm PDT

 


The post Shamsa Ford, Faiza Ally na Maimatha Wamburuza Zari Mtandaoni appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More