Shangwe wakati Rais Museveni wa Uganda akipokea Bombardier CRJ900 mbili za Uganda Airlines - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Shangwe wakati Rais Museveni wa Uganda akipokea Bombardier CRJ900 mbili za Uganda Airlines

 Rais wa Ugandam Yoweri Museveni leo amepokea ndege mbili za kwanza wakati nchi hiyo inapofufua Shirika lake la ndege la Uganda Airlines.
Kiongozi huyo alikuwa kwenye uwanja wa ndege wa Entebbe kupokea ndege hizo aina ya Bombardier CRJ900. Museveni alisema kamwe hatoruhusu shirika hilo linaloirejeshea nchini yake hadhi yake liangamie tena Rais wa Ugandam Yoweri Museveni leo na Mama Janeth Museveni wakipungia wakati wakiingia kuikagua moja ya ndege hizo Rais wa Ugandam Yoweri Museveni leo na Mama Janeth Museveni wakiwa ndani ya  moja ya ndege hizo ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More