Sheikh Kishki amvulia kofia Binti wa miaka 12 kwa kuwezo wa kuhifadhi Quran (Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Sheikh Kishki amvulia kofia Binti wa miaka 12 kwa kuwezo wa kuhifadhi Quran (Video)

Msichana wa miaka 12 aliyehifadhi Qur-aan tukufu juzuu 30 kwa mara ya kwanza ataiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Afrika yaliyoandaliwa na taasisi ya Al-Hikma Faundation yatakayofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Mei 19 ambapo mgeni rasmi atakua ni Rais Magufuli.The post Sheikh Kishki amvulia kofia Binti wa miaka 12 kwa kuwezo wa kuhifadhi Quran (Video) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More