Sheikh Ponda ‘watu wasiojulikana’ wanaichafua nchi - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Sheikh Ponda ‘watu wasiojulikana’ wanaichafua nchi

SHEIKH Issa Ponda, Katibu Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, amesema kuwa vitendo vya utekaji vinavyodaiwa kufanywa na watu wasiojulikana vinaichafua taswira ya nchi. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Akizungumza kwenye baraza la Eid Al-Hajji jana tarehe 12 amesema kuwa vitendo hivyo vinaviweka vyombo vya dola lawamani kutokana na watu kukosa uhakika wa ...


Source: MwanahalisiRead More