Shela la Priyanka Chopra kwenye harusi yake na Nick Jonas lazua gumzo, lina urefu wa futi 75 - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Shela la Priyanka Chopra kwenye harusi yake na Nick Jonas lazua gumzo, lina urefu wa futi 75

Baada ya kupita kwa harusi ya mwigizaji mashuhuri nchini India, Priyanka Chopra na Mwanamuziki wa Kimarekani, Nick Jonas siku chache hatimaye mwana dada huyo anagonga tena vichwa vya habari hasa kutokana na shela aliloonekana nalo katika ndoyake.


Bollywood actress Priyanka Chopra (L) and US musician Nick Jonas


Shela hilo ambalo limebuniwa na kampuni ya Ralph Lauren, lilikuwa na puleki za lulumizi milioni mbili, zikiwa zimeshonelewa kwa ustadi mkubwa.


Wakati likiwa na urefu wa futi 75,  ambazo ni sawa na mita 23. Shela hiyo ilikuwa nyeupe na laini na yenye kupitisha nuru na kumuwezesha anayetazama kuona kilichomo.


Bollywood actress Priyanka Chopra (L) and US musician Nick Jonas


Mapema kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagraam, Priyanka amelifichua vazi hilo na kuliweka wazi baada ya kukosekana kwa picha zake za harusi tangu kuolewa kwake.


View this post on InstagramOnce upon a fairytale… @nickjonas Link in bio @people


A post shared by Priyanka Chopra (@priyankachopra) on Dec 4, 2018 at 7:12am PST

Jonas na Chopra ambao wameachana kwa umri kwa mwongo mmoja walichumb... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More