Shela la Priyanka Chopra kwenye harusi yake na Nick Jonas lazua gumzo, lina urefu wa futi 75 - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Shela la Priyanka Chopra kwenye harusi yake na Nick Jonas lazua gumzo, lina urefu wa futi 75


Baada ya kupita kwa harusi ya mwigizaji mashuhuri nchini India, Priyanka Chopra na Mwanamuziki wa Kimarekani, Nick Jonas siku chache hatimaye mwana dada huyo anagonga tena vichwa vya habari hasa kutokana na shela aliloonekana nalo katika ndoyake.Bollywood actress Priyanka Chopra (L) and US musician Nick JonasShela hilo ambalo limebuniwa na kampuni ya Ralph Lauren, lilikuwa na puleki za lulumizi milioni mbili, zikiwa zimeshonelewa kwa ustadi mkubwa.Wakati likiwa na urefu wa futi 75,  ambazo ni sawa na mita 23. Shela hiyo ilikuwa nyeupe na laini na yenye kupitisha nuru na kumuwezesha anayetazama kuona kilichomo.Bollywood actress Priyanka Chopra (L) and US musician Nick JonasMapema kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagraam, Priyanka amelifichua vazi hilo na kuliweka wazi baada ya kukosekana kwa picha zake za harusi tangu kuolewa kwake.Jonas na Chopra ambao wameachana kwa umri kwa mwongo mmoja walichumbiana majira ya joto, baada ya kupita kipindi cha mapenzi tele na kufunga ndoa wikendi katika jimbo la Rajasthan.Shela hiyo ilikuwa ndefu sana kiasi kwamba ilihitaji kundi la watu kuibeba. Mtandaoni watu hawakui... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More