Sheria Mpya ya Zana za Kilimo kuchochea Mapinduzi ya Viwanda – Mhandisi Mtigumwe - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Sheria Mpya ya Zana za Kilimo kuchochea Mapinduzi ya Viwanda – Mhandisi Mtigumwe

Sheria Mpya ya Zana za Kilimo kuchochea Mapinduzi ya Viwanda – Mhandisi Mtigumwe Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhandisi Mathew Mtigumwe Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhandisi Mathew Mtigumwe aliyevaa koti la kahawia katikati akiwa pamoja na Mhandisi Peter Chisawilo kulia kwake ambaye alikuwa Mwenyekiti wa mkutano huo sambamba na Wadau wa Zana za Kilimo mara baada ya kuufungua mkutano huo jana katika ukumbi wa Mvuvi House, Jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Zana za Kilimo Wizara ya Kilimo, Mhandisi Joseph Lubilo akitoa maelezo ya utangulizi kwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhandisi Mathew Mtigumwe aliyevaa koti la kahawia katikaki akiwa pamoja na Mhandisi Peter Chiswalo kulia kwake ambaye alikuwa Mwenyekiti wa mkutano huo, jana katika ukumbi wa Mvuvi House, Jijini Dar es Salaam .

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhandisi Mathew Mtigumwe ameyasema hayo wakati akifungua mkutano wa Wadau wa Zana za Kilimo wenye lengo la kupitia rasimu ya maboresho ya Sheria ya Zana za Kilimo nch... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More