Sheria nyingine ‘katili’ yaja, ni ile ya Majengo, sasa hadi matembe kulipa kodi - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Sheria nyingine ‘katili’ yaja, ni ile ya Majengo, sasa hadi matembe kulipa kodi

SERIKALI ya Rais John Pombe Magufuli, sasa imeamua “kula matapishi yake.” Jumamosi wiki hii, inarudi tena bungeni kuwasilisha mabadiliko mengine kwenye Sheria Mpya ya Madini ya mwaka 2017. Anaripoti Mwandishi Wetu kutoka Dodoma … (endelea). Marekebisho ya sheria ya madini yanafanyika ndani ya kipindi cha mwaka mmoja na nusu, tangu kuwasilishwa bungeni kwa muswada wa marekebisho ...


Source: MwanahalisiRead More