Shetta Aomba Mazingiraya Kisiwa cha Mbudya Yaboreshwe. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Shetta Aomba Mazingiraya Kisiwa cha Mbudya Yaboreshwe.

Imeripotiwa kuwa kisiwa cha Mbudya ni moja ya sehemu kuwa sana ambayo wasanii na watu maarufu mbalimbli kwa sasa wamekuwa wakienda kwa ajili ya kustarehe lakini kumekuwa na mazingira ya kuhatarisha sana maisha ya watu wanaokwenda huko.


Inasemekana kuwa watu wengi wamesababishia vifo katika kisiwa hicho kutokana na  mazingira yake kuwa hatarishi sana.


Moja ya wasanii wa bongo fleva shetta amefunguka na kusema kuwa kwa sababu mbudya ni sehemu inayopendwa sana na watu kwa sasa basi ni bora serikali inagalia jinsi ya kupaboresha au hata wale wamiliki wa maeneo hayo wapaangalia tena kwa kutunga sheria zitakazosaidia watumiaji na kuweka misingi bora ya maeneo hayo.


Haya yanakuja  baada ya moja ya wadau wakubwa katka muziki PANCHO kupoteza maisha siku za karibuni akiwa katika kisiwa hicho na hata hivyo baadhi ya watu waliowahi kufika eneo hilo wanasema eneo hilo bado ni hatarishi sana kutokana nakusababisha vifo mara nyingi ingawa vipo ambavyo haviripotiwi.


The post Shetta Aomba Mazingiraya... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More