Shetta awapongeza Navy kenzo. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Shetta awapongeza Navy kenzo.

Msanii wa Bongo Fleva, Sheta amelipongeza Kundi la  Navy Kenzo kwa kuefanikiwa kushinda tuzo ya Sound City MVP.


Tuzo hizo ambazo zilitolewa usiku wa kuamkia jana Lagos nchini Nigeria, Navy Kenzo wameshinda kwenye kipengele cha Kundi Bora.


“Hongera sana kwenu Navy Kenzo You guyz make Us proud, Lets support Our Own,” ameeleza Shetta.


Navy Kenzo ndiye wasanii pekee kutoka Tanzania walioshinda tuzo hiyo kwa mwaka huu licha ya wingine kuteuliwa kushiriki.


The post Shetta awapongeza Navy kenzo. appeared first on Ghafla! Tanzania.


Source: Ghafla TZRead More