Shigongo Awasifia Wema na Diamond kwa Hili. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Shigongo Awasifia Wema na Diamond kwa Hili.

Mjasirimali na mwandishi wa viatnu maarufu nchini, Eric Shigongo amefunguka na kusema kuwa pamoja na mambo mengi ambayo yamekuwa yakiandikwa juu yao wasanii hawa wawili Wema na Diamond  wamekuwa wasanii wastaarabu ambao hawakurupuki na kuanza kupiga smu kwa waandishi   na kugombana nao kwa taarifa zinazokuwa zinasambaa katika magazeti.


Akiweka hiyo kama moja ya sifa za kumsifai diamond kwa tabia nzuri kati ya wasanii wengi wakati anaandika makala yake inayohusu jinsi alivyofurahishwa na uamuzi wa diamond  kuamua kusaidia  watu wa tandale ikiwa kama moja ya kurudisha fadhila kwa jamii yake, eric anasema kuwa Diamond na wema ni wat wanaokaa kimya sana yanapotokea mambo ya mitandao.


Namfahamu Diamond kama moja ya vijana watiifu sana, mkarimu mwenye heshima na adabu  na asiependa ugomvi na watu wanaomzidi umri.Mungu ni shahidi yangu kuwa ni watu wawili tu kwenye hii nchi wanaweza kuona kitu kimeandikwa katika magazeti na bado wasipige simu kugombana na waandishi,  watu hao ni Diamon... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More