Shilingi Milioni 150 zategwa kukarabati Miundombinu Chuo cha Michezo Malya. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Shilingi Milioni 150 zategwa kukarabati Miundombinu Chuo cha Michezo Malya.


Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Juliana Shonzaakizungumza na Wahitimu wa Stashahada za Michezo mbalimbali,wanafunzi na wazazi (hawapo katika picha) katika mahafali ya 08 yaliyofanyika Juni 15, 2019 katika Chuo cha Maendeleo ya Micheo Malya kilichopo Wilaya ya Kwimba Jijini Mwanza.Kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho Bw.Richard Maganga na Kulia ni Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Bw.Jeremiah John. Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya Bw.Richard Maganga akitoa taarifa fupi ya chuo hicho wakati wa mahafali ya 08 ya Stashahada za Michezo mbalimbali 8 yaliyofanyika Juni 15, 2019 katika Chuo hicho kilichopo Wilaya yaKwimba Jijini Mwanza.Kulia ni Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Juliana Shonza. 
Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Bw.Jeremiah John akitoa salam za Wilaya wakati wa mahafali ya 08 ya Stashahada za Michezo mbalimbali yaliyofanyika Juni 15, 2019 katika cha Maendeleo ya Michezo Malya Chuo kilichopo Wi... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More