Shilton amaliza utata wa vita ya makipa Simba - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Shilton amaliza utata wa vita ya makipa Simba

Shilton alisema kutokana na namna ushindani uliopo kwa makipa wake, Aishi Manula, Beno Kakolanya na Salim Ally inaonyesha kazi itakuwa kubwa katika vita ya kuwania nafasi ya kukabidhiwa dhamana ya kuliongoza jahazi la Msimbazi msimu ujao


Source: MwanaspotiRead More