Shirika la chakula Duniani WFP waungana na TRC kusafirisha chakula nje ya nchi - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Shirika la chakula Duniani WFP waungana na TRC kusafirisha chakula nje ya nchiWaziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Issack Kamwele na Mkurugenzi wa Bodi ya Wakurugenzi ya TRC Profesa John Kondoro wakishuhudia Meneja Mkazi wa WFP Tanzania , Bw. Michael Dunford (kulia) na Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania Bw. Masanja Kadogosa (kushoto) wakitia saini mkataba wa makubaliano ya ukarabati wa Mabehewa 40 ya treni yatakayofanya kazi ya kubeba mizigo ya WFP kwenda nchi mbalimbali za ukanda wa Afrika mashariki na Maziwa Makuu, Mkataba huo umetiwa saini leo katika Karakana ya TRC.


……………………………………………………………………

*Kwa mwaka huu wamejipanga kununua zaidi ya tani laki 1 za mahindi

*JPM atoa Bil 5/- kukarabati mabehewa 200, WFP kukarabati 40 kwa Bil 1.1/-

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Issack Kamwele amesema hawezi kuwa tayari kuona baadhi ya masuala yanasshindwa kufanikiwa katika taasisi zilizo chini ya wizaaraa yake kwa kisingizio cha kubanwa na sheria.

Alisema hayo jana wakati wa hafla yaa ... Continue reading ->

Source: Issa MichuziRead More