SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHI HATI MILIKI NA KIBALI CHA UJENZI KWA AUWSA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHI HATI MILIKI NA KIBALI CHA UJENZI KWA AUWSA

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Dk. Maulidi Banyani ambaye pia alikuwa mgeni rasmi akimkabidhi hati miliki Mhandisi Humphrey Mwiyombela, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira jiji la Arusha (AUWSA), wakati wa makabidhiano hayo ya hati miliki na kibali cha ujenzi wa Jengo la makao makuu ya kanda ya mamlaka hiyo hafla hiyo imefanyika leo.Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Dk. Maulidi Banyani ambaye pia alikuwa mgeni rasmi akizungumza kwenye makabidhiano hayo ya hati miliki na kibali cha ujenzi wa Jengo la makao makuu ya kanda ya mamlaka hiyo hafla hiyo imefanyika leo.Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha, Richard Kwitega akizungumza kwenye makabidhiano hayo ya hati miliki na kibali cha ujenzi wa Jengo la makao makuu ya kanda ya mamlaka hiyo hafla hiyo imefanyika leo.Baadhi ya Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa na wale wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira wa Arusha (AUWSA) wakifuatilia makabidhiano hayo ya hati miliki na ki... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More