SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) LAJIZATITI KIMATAIFA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) LAJIZATITI KIMATAIFA

Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC), Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo (kulia), akielezea masuala mbalimbali ya shirika hilo, katika kujiimarisha kimataifa, ambayo waliyatoa katika mkutano wa kimataifa wa Umoja wa Mashirika ya Posta duniani (UPU). Wa pili kulia ni Postamasta Mkuu, Hassan Mwang'ombe na kushoto ni Kaimu Meneja Mkuu Rasilimali za Shirika Macrice Mbodo. Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania, Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo (kulia), akifafanua jambo katika mkutano huo, na waandishi wa habari leo, jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Postamasta Mkuu, Hassan Mwang'ombe.Baadhi ya viongozi waandamizi wa shirika hilo, wakimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi, Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo (hayupo pichani), wakati akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, katika mkutano huo, leo, jijini Dar es Salaam.Baadhi ya viongozi waandamizi wa shirika hilo, wakifuatilia maelezo yaliyokuwa yakitolewa kwa waandishi wa habari na Mwenyekiti wa Bodi, Kanali Mstaafu, Dk. Haruni... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More