SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) LAJIZATITI KIMATAIFA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) LAJIZATITI KIMATAIFA

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Elia Madulesi, akizungumza jijini Dar es Salaam leo, wakati akiwakaribisha waandishi wa habari katika mkutano ambao Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika, Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo (hayupo pichani), alielezea masuala mbalimbali ya shirika katika kujiimarisha kimataifa, ambayo waliyatoa katika mkutano wa kimataifa wa Umoja wa Mashirika ya Posta duniani (UPU), uliofanyika Adis Ababa, Ethiopia, hivi karibuni. Kulia ni Postamasta Mkuu, Hassan Mwang'ombe na kushoto ni Kaimu Meneja Mkuu Rasilimali za Shirika Macrice Mbodo. Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC), Kanali Mstaafu, Dk. Haruni Kondo (kulia), akielezea masuala mbalimbali ya shirika hilo, katika kujiimarisha kimataifa, ambayo waliyatoa katika mkutano wa kimataifa wa Umoja wa Mashirika ya Posta duniani (UPU). Wa pili kulia ni Postamasta Mkuu, Hassan Mwang'ombe na kushoto ni Kaimu Meneja Mkuu Rasilimali za Shirika Macrice Mbodo. Mwenyekiti wa Bodi ya Sh... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More