SHIRIKA LA WATER MISSION INTERNATIONAL LAFANIKISHA MRADI WA SAFI NA SALAMA KATA YA ZEZE WILAYANI KASULU - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SHIRIKA LA WATER MISSION INTERNATIONAL LAFANIKISHA MRADI WA SAFI NA SALAMA KATA YA ZEZE WILAYANI KASULU

 Afisa Tawala wa Wilaya ya Kasulu,Bw.Titus Mguha, mweye shati la kitenge akishirikiana na Meneja wa Miradi ya Maji kutoka taasisi ya Poul Due Jensen Foundation,Bw.Nils Thorup kukata utepe kuzindua mradi wa maji sai na salama katika kata ya Zeze wilayani Kasulu ambao umetekelezwa na Water Mission Tanzania, kwa udhamini wa taasisi ya Poul Due Jensen Foundation. Afisa Tawala wa Wilaya ya Kasulu, Bw.Titus Mguha (wa pili kutoka kulia) akifuatilia matukio wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji wa kata ya Zeze ambao umejengwa na taasisi ya Water Mission Tanzania,kwa udhamini wa taasisi ya, Poul Due Jensen Foundation,wengine pichani ni Mkurugenzi wa Water Mission Tanzania Benjamin Filskov (wa kwanza kushoto),Mkurugenzi wa water Mission wa kanda ,Will Furlong (katikati) na Meneja wa Miradi ya Maji kutoka taasisi ya Poul Due Jensen Foundation,Bw.Nils Thorup Baadhi ya wakazi wa Zeze wakicheza ngoma kufurahia kupata maji.Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika hafla hiyo ya uzinduzi wakifuatilia m... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More