Shivyawata waomba walimu maalum mashuleni - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Shivyawata waomba walimu maalum mashuleni

SHIRIKISHO la vyama vya watu wenye ulemavu (SHIVYAWATA) mkoa wa Dodoma limeomba Wizara ya Elimu kuwapeleka walimu wenye taaluma ya elimu maalum kwenye shule zote nchini. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Shirikisho hilo lilisema kuwa shule nyingi hazina walimu wenye ujuzi wa kutoa elimu kwa watu wenye mahitaji maalum jambo ambalo linawafanya watu wenye ...


Source: MwanahalisiRead More