SHUBILA STATON ANYAKUA TAJI LA MISS MOROGORO 2019 - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SHUBILA STATON ANYAKUA TAJI LA MISS MOROGORO 2019


Miss Morogoro 2019 Shubila Staton akipungia mkono wageni waalikwa walifika katika shindano la kumsaka mlimbwende wa mjini kasoro bahari Morogoro mara baada ya kutangazwa. Miss Morogoro 2019 Shubila Staton atoa machozi ya furaha baada ya kutangazwa kubeba taji hilo. Pembeni yake kulia ni Meya wa Manispaa ya Morogoro Paschal Kihanga, Miss Morogoro namba mbili Moureen Kaaya na kulia ni muandaaji wa mashindano hayo Farida Fujo. Wadhamini wa shindano hili, DSTV wakitoa zawadi kwa washindi wa tatu wa Miss Morogoro 2019. Muandaaji wa Miss Morogoro 2019 Farida Fujo akitoa neno la nasaha kwa washiriki na shukrani kwa wageni waliofika katika shindano hilo lililofanyika mjini Morogoro July 20, 2019.Mbunifu wa Mavazi Martin Kadinda (picha ya juu kulia) akitangaza mshindi. Picha ya chini ni warembo Moureen Kaaya aliyenyakuwa nafasi ya pili akiwa ameshikana mikono na Shubila wakati wakingoja kutangazwa kwa mshindi. Muandaaji wa Miss Morogoro 2019 Farida Fujo akiwa na msemaji wa timu ya Simba Haji... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More