Shughuli pevu: Ni Lissu Vs Ndugai kortini - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Shughuli pevu: Ni Lissu Vs Ndugai kortini

KESI inayotarajiwa kuwa mashuhuri na ya aina yake kati ya Tundu Lissu, aliyevuliwa ubunge wa Jimbo la Singida Mashariki dhidi ya Job Ndugai, Spika wa Bunge, sasa kuunguruma. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea).  Kesi hiyo inatarajiwa kuanza leo tarehe 15 Agosti 2019, katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam Lissu akipinga uamuzi wa Spika Ndugai ...


Source: MwanahalisiRead More