Shuhuda wa ajali iliyoua madereva bodabora wengi Moro afunguka (Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Shuhuda wa ajali iliyoua madereva bodabora wengi Moro afunguka (Video)

Gari la tanki ya mafuta aina ya petroleum limewaka moto na kusababisha Vifo vya watu kadhaa hasa waendesha pikipiki wa maeneo ya Msamvu manispaa ya Morogoro.Watu hao idadi yao inakabiliwa kufika hamsini na kamanda wa polisi yupo eneo la tukio. Taarifa kamili zinakuja.


Source: Mtandao


The post Shuhuda wa ajali iliyoua madereva bodabora wengi Moro afunguka (Video) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More