Shuka jeupe: Jinsi mila za ubikira zinavyoendelea kuwazonga maharusi wa leo - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Shuka jeupe: Jinsi mila za ubikira zinavyoendelea kuwazonga maharusi wa leo

Siku yako ya harusi inatakiwa kuwa n siku ya furaha zaidi kwenye maisha yako, lakini yaweza kuwa ni siku ngumu zaidi. Kuna baadhi ya nchi hasa Ulaya mashariki mila za kizamani bado zinadumu mpaka wa leo na kuendelea kuumiza kisaikolojia maharusi.


Source: BBC SwahiliRead More