Shukrani kocha Amunike, naona ameanza kutuelewa - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Shukrani kocha Amunike, naona ameanza kutuelewa

DAKIKA 90 za kwanza za Emmanuel Amunike kama kocha wa Taifa Stars zilimalizika Kampala Uganda juzi Jumamosi jioni na kuwaacha wenyeji wasijue kilichowapata. Walitarajia ushindi wakaishia kupata suluhu wasiyoitarajia. Ni kwa sababu ya Amunike.


Source: MwanaspotiRead More