Sifa Nne Za Kuangalia Wakati Wa Kuchagua Kazi Au Biashara Ili Iwe Na Maana Kwako Na Uweze Kufikia Mafanikio Makubwa. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Sifa Nne Za Kuangalia Wakati Wa Kuchagua Kazi Au Biashara Ili Iwe Na Maana Kwako Na Uweze Kufikia Mafanikio Makubwa.

Rafiki yangu mpendwa, Tunapokuwa tunaanza safari ya maisha binafsi ya kujitegemea, pale inapotubidi tuwe na kazi au biashara ya kutuingizia kipato ili tuweze kuendesha maisha yetu, kigezo kikubwa tunachotumia kuchagua kazi au biashara huwa ni fedha. Unaangalia ni kiasi gani cha fedha utapata na hivyo kuchagua kazi au biashara inayokupa kiasi kikubwa zaidi cha fedha.... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More