“Sijawahi Kushuka Kwenye Muziki”-Queen Darleen - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

“Sijawahi Kushuka Kwenye Muziki”-Queen Darleen

Msanii wa muziki wa Bongo fleva kutoka katika label ya WCB, Queen Darleen ameibuka na kudai kuwa yeye ni msanii wa kike ambaye hajawahi kushuka Kwenye chati.


Queen Darleen ambaye hivi sasa amesainiwa chini ya Label ya kaka yake Diamond Platnumz, WCB amedai pamoja na kwamba ni mkongwe lakini hajawahi kushuka na mpaka sasa anakimbiza na wasanii wapya kama Nandy na wengineo.


Kwenye mahojiano aliyofanya na Wasafi TV, Queen Darleen amesema kuwa yeye hajawahi kushuka toka enzi hizo na kujifananisha na marehemu Bi. Kidude kuwa mzee wake utaendelea kuwa mzuri hata umri wake ukiendelea kumtupa mkono.Mimi sijui wao lakini mimi toka  hizo zama za kina Lady Jaydee, akina Ray C mpaka leo hii mimi bado nipo, nakwenda nao level za akina Nandy, yaani mimi nipo humo humo na sitoki yaani na wasitegee kutoka leo, kesho yaani mimi kama bi Kidude nakufa na muziki wangu”.Lakini pia Darleen amewatolea povu zito mashabiki ambao wamekuwa wakiponda mavazi yake anayovaa:Kama mimi navaa najiona mwenyewe... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More