Sijawahi Kutuma Picha ya Uchi Mtandaoni :-Gigy Money - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Sijawahi Kutuma Picha ya Uchi Mtandaoni :-Gigy Money

Mwanadada Gigy money amefunguka na kukiri kuwa katika maisha yake hajawahikutuma picha ya uchi kwa mwanaume yoyote katika simu ispokuwa mwanaume ambae  ni baba wa mtoto wake ambae pia  hata kama watagombana kiasi gani anaamini kuwa hawezi hata siku moja kumdhalilisha kwa kutumia picha hiyo.


Gigy Money amabe nae kila siku amekuwa hapitwi na matukio  , aliwahi kuwa moja ya wadada waiowahi sana kuchapisha picha za nusu utupu katika mitandao lakini alikuja na kubadilika sana kuhusu kufanya hivyo.


Gigy Money anasema “sijawahi kutuma picha za uchi kwa mtu yoyote isipokuwa baba wa mtoto wangu,  na hata hivyo naamini hata tugombane kiais gani hawezi kunidhalilisha hata siku moja kwa kutuma picha yangu mtandaoni ”


 


 


The post Sijawahi Kutuma Picha ya Uchi Mtandaoni :-Gigy Money appeared first on Ghafla! Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More