SIKU 365 ZA KARIA TFF NA TUHUMA ZA UNAZI WA SIMBA, KUONGOZWA NA MGOYI NA MENGINE MENGI - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SIKU 365 ZA KARIA TFF NA TUHUMA ZA UNAZI WA SIMBA, KUONGOZWA NA MGOYI NA MENGINE MENGI

Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM
AGOSTI 12, mwaka jana Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) lilipata uongozi mpya, Wallace Karia akichaguliwa kuwa Rais kwa ushindi wa kishindo mjini Dodoma, akibeba kura 95 kati ya 128 zilizopigwa, huku aliyechukuliwa kama mpinzani wake wa karibu, Ally Mayay Tembele akiambulia kura tisa sawa na Shijja Richard.
Wagombea wengine wa nafasi hiyo, Mwenyekiti wa zamani wa Yanga SC, Wakili Imani Madega alipata kura nane, Frederick Mwakalebela alipata kura tatu huku Emmanuel Kimbe akiambulia kura moja, wakati Michael Wambura alishinda nafasi ya Umakamu wa Rais.
Wajumbe wa Kamati ya Utendaji wa Kanda 13 kwa mtiririko kuanzia Kanda Namba 1 ni; Saloum Chama, Vedastus Lufano, Mbasha Matutu, Sarah Chao, Issa Bukuku, Kenneth Pesambili, Elias Mwanjala, James Mhagama, Dunstan Mkundi, Mohamed Aden, Francis Ndulane, Khalid Abdallah na Lameck Nyambaya.
Akitimiza mwaka mmoja madarakani leo, Bin Zubeiry Sports – Online ilikutana na Karia mjini Dar es Salaam kwa mahojiano juu ya... Continue reading ->
Source: Bin ZuberyRead More