Siku 481 TFF bila kufanya mkutano mkuu - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Siku 481 TFF bila kufanya mkutano mkuu

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) lilipanga kuitisha Mkutano Mkuu wa mwaka Desemba 29, lakini ghafla mkutano huo umeyeyuka hadi Februari 2 mwakani ili kwenda sambamba na uchaguzi mdogo wa kuziba nafasi zilizo wazi.


Source: MwanaspotiRead More