SIKU YA MOYO DUNIANI KUADHIMISHWA KWA KUPIMA MAGONJWA YA MOYO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SIKU YA MOYO DUNIANI KUADHIMISHWA KWA KUPIMA MAGONJWA YA MOYO

Mwenyekiti wa chama cha madaktari wa moyo nchini Dkt. Robert Mvungi akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati alipotambulisha siku ya moyo duniani ambayo itafanyika katika viwanja vya mnazi mmoja Septemba 29,2018.
Na Leandra Gabriel, blogu ya jamiiMAADHIMISHO ya siku ya moyo duniani yenye kauli mbiu ya "My "Heart, Your hear" (Moyo wangu, moyo wako) yanatarijiwa kufanyika Septemba 29 mwaka huu katika Mikoa mbalimbali na jumbe mbalimbali  kuhusu ugonjwa wa moyo kutolewa.
Akizungumza na vyombo vya habari Mwenyekiti wa chama cha madaktari wa moyo nchini Dkt. Robert Mvungi ameeleza kuwa sherehe hizo katika Mkoa wa Dar es salaam zitaongozwa na kiongozi kutoka Wizara ya Afya na zitafanyika katika viwanja vya mnazi mmoja na klabu mbalimbali za mazoezi kutoka Wilaya zote zitakutana viwanjani hapo wakitokea katika maeneo yao.
Aidha ameeleza kuwa hospitali mbalimbali zitashiriki katika maadhimisho hayo zikiwemo zile za hospitali za serikali na watu binafsi kama vile Mloganzila... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More