Silaha mpya za Zahera Jangwani - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Silaha mpya za Zahera Jangwani

KOCHA wa Yanga, Mwinyi Zahera, amethibitisha uwezekano wa kikosi chake kushiriki Kombe la Kagame ni mdogo akisema ni kutokana na ratiba kuingiliana na programu ya mapumziko ya wachezaji wake, lakini akasema kuhusu usajili ana wachezaji 10 watakaojaribiwa na wanne tu ndiyo wenye uhakika wa moja kwa moja kusaini mikataba.


Source: MwanaspotiRead More