SILAHA ZA KIVITA KWENYE GARI ALILOTEKWA MO DEWJI “AK 47” - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SILAHA ZA KIVITA KWENYE GARI ALILOTEKWA MO DEWJI “AK 47”

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amezungumzia tukio la kupatikana kwa mfanyabishara maarufu nchini, Mohammed Dewji kutoka kwenye mikono ya watekaji na kusema wamekuta silaha za kivita kwenye gari alilokuwa ametekwa MO.
Akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam leo Oktoba 20, 2018, Sirro amesema; “Tulipofika hapaGymkana tukalikuta gari lililomteka Mohammed Dewji likiwa limetelekezwa, tukaona tulizuie mtu asiingie kwanza tufanye upekuzi, tumekuta silaha ya kivita AK 47 moja na bastola tatu.“Fikiria Mohammed Dewji amekuja amekuja kutekwa kwa silaha nne, bastola zilikuwa na risasi 16, na hii AK 47 ilikuwa na risasi 19, ni silaha nzito ya kivita, inaweza kupiga risasi 19 mfululizo. Kwenye biashara hii lazima tuwaonyeshe kuwa hii ni Tanzania, lazima tuwapate, na tukiwapata watueleze walikuwa wanataka kufanya nuini.“Watekaji wa Mo Dewji walitaka kuichoma hii gari kupoteza ushahidi, wakajikuta mwisho wa siku wana mashaka na hilo. Inasemekana walikuwa... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More