Simba, Azam waanza tambo kiingilio buku tano tu - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Simba, Azam waanza tambo kiingilio buku tano tu

Azam na Simba zimeanza kutambiana kuelekea katika mchezo wa Ngao ya Jamii utakaochezwa Jumamosi Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, huku kiingilio cha chini kikiwa ni shilingi elfu tano tu Sh5,000 tu.


Source: MwanaspotiRead More