Simba buana yampeleka Kiulaini Masoud Jangwani - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Simba buana yampeleka Kiulaini Masoud Jangwani

HAKUNA ubishi tena, ndoa ya Kocha Mrundi, Masoud Djuma na Simba imefikia mwishoni, hata kama pande zote zimekuwa zikichenga kuanika ukweli. Kikao cha muda mrefu kilichofanyika juzi jijini Dar es Salaam kinathibitisha ndoa imevunjika rasmi.


Source: MwanaspotiRead More