SIMBA DAY ILIVYOFANA, ILIKUWA BURUDANI NJE NA NDANI TAIFA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SIMBA DAY ILIVYOFANA, ILIKUWA BURUDANI NJE NA NDANI TAIFA

Na Dominick Salamba, DAR ES SALAAM
Ilikuwa bomba sana ninaweza kusema mashabiki wa Simba wamefanikiwa kuibadili siku ya kazi kuwa wikendi na kuifanya Jumanne kuwa sikukuu,mji ulizizima,siwezi kuandika sana bila kusema hili maana nisije kusahau Haji Manara unastahili hongera maalumu uwezo wako wa kuhamasisha na kutengeneza mvuto wa jambo ni kitu ambacho mungu amekupa hongera brother endelea kutumia uwezo wako maana mungu alikujalia kwa sababu leo na kesho uwenda wapo ambao hawajaona ila ipo siku watakuelewa. Siku za karibuni sijaona mtaalamu wa propaganda aliyefanikiwa zaidi yako brother hongera tumeona,tumekubali.
Kwa ujumla wake nitoe pongezi kwa uongozi wa Simba sc kwani mmeendelea kushikana na kupigania kile mnachokiamini na hajakubali kugawanywa na kweli Siku ya jana mmethibitisha kwa tukio kubwa lenye mvuto wa Aina yake katika historia ya soka letu Asanteni sana..
Nimeanza kwa kusema ilikuwa burudani nje ndani nikimaanisha haya.

NJE.
Umati ulikubali mwitikio mkubwa,rangi nyekundu zilit... Continue reading ->

Source: Bin ZuberyRead More