Simba ichague njia sahihi kwa ajili ya msimu ujao - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Simba ichague njia sahihi kwa ajili ya msimu ujao

Na Raphael Lucas


Simba sports club ndiyo timu pekee inayotuwakilisha kimataifa hii ni baada ya Mtibwa sugar kuondolewa na Waganda KCCA, Simba imetinga hatua ya makundi baada ya kuzitoa club za Mbambane swallows ya Zimbabwe na Nkana red devils kutoka nchini Zambia


Baada ya kufuzu kwa hatua ya makundi na kupangwa kundi D


Kundi D

1. Al Ahly ( Misri)

2. As Vita (Congo)

3. Js Soura(Aljeria)

4. Simba (Tanzania)Kwa kulitazama hili kundi ni gumu sana Simba kutoboa na kila timu inafikiria jinsi ya kupata alama 3 dhidi ya Simba. Kwa kuwalinganisha ubora na timu zingine kiuwekezaji na Kiuchezaji wao wako juu kuliko simba.


Msimamo ligi kuu Tanzania bara(TPL)


1. Yanga 50
2. Azam 40
3. Simba 33


Simba ima viporo ata akishinda vyote bado atakua nyuma ya vinara Yanga kwa pointi tano.


Kwanini simba achangue njia moja na sahihi kwake?


Moja ya lengo kubwa la Simba chini ya Muwekezaji Mohammed Dewji ni kushiriki mashindano ya kimataifa mala kwa mala na ili wafanye hivo Simba wana njia mbili tu za kuchagua... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More