SIMBA ILIVYONDELEZA UBABE WAKE KWA WAARABU DAR - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SIMBA ILIVYONDELEZA UBABE WAKE KWA WAARABU DAR

Mshambuliaji wa Simba SC, Meddie Kagere akiwatoka mabeki wa Al Ahly katika mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Afrika jioni ya leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Simba SC imeshinda 1-0, bao pekee la Kagere dakika ya 65 na kuendeleza rekodi yake ya kuzifunga timu za Kaskazini mwa Afrika nyumbani   
Meddie Kagere, Mnyarwanda mwenye asili ya Uganda akitafuta maarifa ya ya kuwatoka wachezaji wa Al Ahly 
Mshambuliaji Mganda wa Simba, Emmanuel Okwi akitafuta mbinu za kumpita Karim Nedved wa Al Ahly 
Emmanuel Okwi akijivuta kupiga shuti pembeni ya Ali Maaloul
Kiungo Mzambia wa Simba, Clatous Chama (kushoto) akimpiga chenga Ramadan Sobhi wa Al Ahly
Beki wa Simba Zana Coulibally kutoka Burkina Faso (kushoto) akijaribu kuzuia mpira unaopigwa na Ali Maaloul
Clatous Chama akipambana katikati ya wachezaji wa Zamalek
Mwenyekiti wa Bodi ya Ukurugenzi ya Simba, Mohammed 'Mo' Dewji akishangilia bao la Kagere leo
Kikosi cha Simba SC kilichoanza kwenye mechi dhidi ya Al Ahly leo
Kikosi cha Al Ahly kilic... Continue reading ->

Source: Bin ZuberyRead More