Simba inawasha mitambo rasmi leo - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Simba inawasha mitambo rasmi leo

SIMBA ilitesti mitambo yake katika mechi ya SportPesa iliyofanyija Nakuru, Kenya. Kikosi kikafika fainali na kupoteza kwa Gor Mahia kwa mabao 2-0. Kuna watu wakacheka sana. Ikaja michuano ya Kombe la Kagame, wakaitesti tena mitambo yao kuona imekaaje. Kama zali wakafika fainali na kupoteza kwa Azam. Baada ya hapo mabosi wao wakaisafirisha timu masafar marefu hadi Ulaya na kuweka kambi nchini Uturuki. Kule wakajifua vya kutosha na leo Jumatano, Wekundu hao wataiwasha rasmi mitambo yao kwenye Uwanja wa Taifa.
Vijana hao wa Kocha Patrick Aussems itashusha nyota wake wote wa msimu uliopita wakiongozwa na Emmanuel Okwi hadi wapya chini ya Meddie Kagere.
Simba itatambulisha kikosi chake kwa msimu ujao wa Ligi Kuu Bara 2018-2019 mapema tu uwanjani hapo kabla ya kuvaana na Asante Kotoko kutoka Ghana ambao mashabiki wa Msimbazi wanamini ndio kipimo kizuri kwa timu yao.
Baada ya mechi hiyo ya kuhitimisha Tamasha la Simba Day ikiwa ni msimu wake wa 10, Simba itajichimbia kambini kabla ya kuelekea... Continue reading ->


Source: MwanaspotiRead More