Simba isifanye dharau mechi za makundi Ligi ya Mabingwa Afrika - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Simba isifanye dharau mechi za makundi Ligi ya Mabingwa Afrika

Mashabiki hao wamekuwa na mitazamo tofauti juu ya Simba kupangwa kundi moja na vigogo Al Ahly ya Misri, AS Vita ya DR Congo na JS Saoura ya Algeria, wengi wakiamini wawakilishi hao wamepangwa kundi la kifo na wengine wakiona ni jepesi.


Source: MwanaspotiRead More