Simba kuivaa Mbabane Swallows Klabu Bingwa Afrika - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Simba kuivaa Mbabane Swallows Klabu Bingwa Afrika

MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba watamenyana dhidi ya Mbabane Swallows katika hatua ya awali ya michuano ya Ligi ya Klabu Bingwa Afrika, inayotarajiwa kuanza mwisho wa mwezi Novemba. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa kati ya tarehe 27-28 mwezi huu katika mzunguko wa kwanza ambao Simba wataanzia nyumbani, huku mchezo ...


Source: MwanahalisiRead More