Simba kuongoza Ligi Kuu Bara leo - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Simba kuongoza Ligi Kuu Bara leo

Mnyarwanda Meddie Kagere wa Simba anaongoza msimamo wa wafungaji bora baada ya kufunga matatu akifuatiwa na Omary Mponda wa Kagera Sugar, Joseph Mahundi na Tafadzwa Kutinyu wa Azam FC, Stamili Mbonde wa Mtibwa Sugar na Ally Bilaly wa Tanzania Prisons wenye mabao mawili kila mmoja.


Source: MwanaspotiRead More