Simba kwa Nkana ni vita ya kisasi, ila kwa Songo heshima - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Simba kwa Nkana ni vita ya kisasi, ila kwa Songo heshima

Mabingwa wa Tanzania Bara, Simba baada ya kuichakaza Mbabane Swallows na kusonga mbele kwa Ligi ya Mabingwa kwa jumla ya mabao 8-1, sasa inasubiri mshindi kati ya Nkana ya Zambia dhidi ya UD Songo ya Msumbiji itakayochezwa leo.


Source: MwanaspotiRead More