Simba, Malindi milango bado migumu - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Simba, Malindi milango bado migumu

DAKIKA 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika huku si Simba wala Malindi ambayo imeona lango la mwenzake katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi inayochezwa uwanja wa Amaan kisiwani hapa.


Source: MwanaspotiRead More